Ukiwa girlfriend wa mwanamuziki inabidi uliondoe neno ‘wivu’ kwenye kamusi yako kichwani!

Ni kwasababu bila hivyo utaishia kuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Jux ana bahati ya kuwa na girlfriend anayeelewa kuwa muziki ni kazi na wakati mwingine unatakiwa kufanya kile mtu wa kawaida hawezi kufanya.
Vanessa Mdee amepost picha ya Jux ya kile kinachoonekana kama video yake ijayo na wimbo ‘One More Night’ na kuandika sentesi inayomaanisha kuwa pale mpenzi wake anapoonesha kuwapenda wasichana wengine kutafuta maisha.
“When bae serenades bad girls for a living , sigh! #OneMoreNight,” ameandika.
Serenade kwa tafsiri ya Kiingereza ni: A musical performance given to honor or express love for someone, often by one person.”
Je haoni wivu? Hili ndio jibu lake.

Christina:Playful exotic Mature Kenyan to satisfy all your needs come play with me all your fantasies come true doubles available.
ReplyDeleteNairobi Escorts
Mombasa Escorts
Kisumu Escorts